Sakata la Lady JayDee na wakurugenzi wa Clouds FM, Ruge Mutahaba na
Joseph Kusaga, halionyeshi dalili za kupungua kasi muda wowote hivi
karibuni. Baada ya Ruge kuzungumzia kwa kirefu drama hiyo kwenye interview.Jide ameendeleza harakati zake dhidi ya mapedejhee hao kupitia
Twitter na Facebook, ambapo alianza kwa kuwapa washabiki wake teaser
ifuatayo
at Facebook: “Kama mtakumbuka niliahidi kutoa awamu ya pili tar
15 au 17 May na ahadi ni deni..Japo naona mbali ila Nitafanya hivyo,
bado nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu Ruge na wenzake…Ile ilikuwa ni
trailer tu, Movie ndio linaanza sasa #TeamAnaconda no surrender”
No comments:
Post a Comment