Wednesday, June 26, 2013

BOB JUNIOUR AKIPOKEA KICHAPO CHA MWIZI BAADA YA KUIBA

.

 .

 ..

 Bob Junior ameshare picha hizi kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika: Kwa Dizaini hii lazima nirudi kwetu K………..Aaaaah Maisha Haya Ya Bongo?,,,

SUGU AKAMATWA KWA KUMTUKANA WAZIRI MKUU PINDA

.

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ''Sugu" (Chadema), alikamatwa na polisi mjini hapa jana na kuhojiwa kwa saa mbili na nusu, akidaiwa kumtukana Waziri Mkuu Mizengo Pinda kupitia mtandao wa jamii wa ‘facebook’. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime, alisema Sugu alikamatwa saa 8.00 mchana akitokea bungeni na kufikishwa katika Kituo cha Polisi cha kati kwa mahojiano.

Misime alisema polisi waliamua kumkamata mbunge huyo baada ya kugundulika kuandika maneno ya kumtukana Waziri Mkuu juu ya utendaji wake.

Mbunge huyo anadaiwa kumtukana Waziri Mkuu kufuatia kauli yake aliyoitoa hivi karibuni bungeni, katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo.

Katika kauli yake hiyo, Pinda alivitaka vyombo vya dola ikiwemo Jeshi la Polisi kutowavumilia watu wanaotishia amani na utulivu hapa nchini.

"Ni kweli tulimkamata Sugu majira ya saa nane mchana na alihojiwa kuhusiana na tuhuma hizo, lakini alidhaminiwa na Tundu Lissu akiwa na mwalimu mmoja wa Sekondari ya Viwandani majira ya saa 10.30 jioni," alisema Misime.

"Hata hivyo mbunge huyo analazimika kufika tena kesho (leo) saa tatu asubuhi, kwa ajili ya kuendelea na mahojiano zaidi kuhusiana na kauli yake katika mtandao huo" alisisitiza Misime.

"Kwa leo (jana), tumekamilisha taratibu zetu ila tutaendelea kwa hatua zaidi kesho (leo), mara atakapofika kwani anatakiwa kufika asubuhi kesho," alisema Misime.

Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi mkoani hapa, alisema Polisi itaendelea kumchukulia hatua zaidi kadiri itakavyoona inafaa, ikiwemo kumpeleka katika vyombo vya sheria.

Kamanda alisema Polisi haitasita kumkamata mtu yeyote ambaye ataonyesha kupandikiza mbegu za chuki ambazo zinaweza kuvunja amani na utulivu wa nchi na kuwataka watumiaji wa mitandao hiyo kuitumia kwa minajiri iliyokusudiwa na si kutukana.

Hivi karibuni kumezuka tabia ya baadhi ya wanasiasa kutumia mitandao ya kijamii kuwachafua watu mbalimbali, wakiwemo viongozi wa serikali kwa manufaa yao.

Kauli ambazo zimekuwa zikiandikwa na kuwekwa katika mitandao hiyo, zimekuwa zikijenga chuki kati ya wananchi na serikali yao ikiwemo viongozi.

AFRICA KUSINI YAJIANDAA NA KIFO CHA MANDELA

Thumbnail for 2119 

*Familia yake yakutana kwa dharura kijijini Qunu
*Yatembelea makaburi ya ukoo, wageni wazuiwa

SASA kuna kila dalili kuwa taifa la Afrika Kusini, limeanza kujiandaa kukabiliana na tukio zito la kifo cha Rais wa Kwanza wa Taifa hilo, Nelson Mandela (94), ambaye amelazwa kwa siku 18 hospitalini akisumbuliwa na maradhi ya mapafu. Kauli tofauti kuhusiana na mwenendo wa hali ya afya yake na matukio mbalimbali yasiyokuwa ya kawaida yanayoripotiwa kufanywa na familia yake, ndiyo ambayo yameamsha hisia hizo.
Taarifa zilizopatikana jana kutoka nchini Afrika Kusini, zinaeleza kuwa watu muhimu katika familia ya Mandela, walikutana kwa dharura na kufanya mazungumzo ya faragha katika kijiji alichozaliwa cha Qunu.

Wakati wanafamilia hao wakikutana, msafara wa magari ya kundi jingine la wanafamilia, ulitembelea eneo la makaburi ya ukoo wa Mandela.

Eneo hilo la makaburi ya ukoo lipo mita chache kutoka yalipo makazi ya mdogo wake, Morris Mandela, mkabala na nyumba ya Mandela iliyoko kijijini Qunu.

Haikufahamika mara moja mazungumzo ya wanafamilia yalihusu jambo gani, lakini baadhi ya vyombo vya habari vya Afrika Kusini, vililiripoti kuwa kwa mujibu wa mila na desturi za kabila la Xhosa, wanafamilia hutembelea eneo la maziko iwapo kuna hisia za mmoja wa wanafamilia kufariki dunia na wakati mwingine kufanya tambiko la kimila.

Waliofika eneo la makaburi ni Winnie Madikizela-Mandela ambaye ni mke wa zamani wa Mandela, Waziri wa Utumishi wa Umma, Lindiwe Sisulu na Kiongozi wa chama cha upinzani cha United Democratic Movement, Bantu Holomisa.

Msafara wao ulifika eneo la makaburi jana asubuhi na kulikuwa na taarifa kuwa mtoto wa kike wa Mandela, Makaziwe Mandela, aliitwa eneo hilo.

Waandishi wa habari walizuiliwa kuvuka geti la eneo la makaburi hayo na waliofika nyumbani kwake Qubu, walipigwa marufuku kusogea karibu na nyumba hiyo.

Wanafamilia walioripotiwa kukutana kijijini Qunu ni Mandla Mandela, Thanduxolo Mandela, Ndaba Mandela na Ndileka Mandela na Chifu Bhovulengwe wa Baraza la AbaThembu.

Kikao hicho kinaeleza kuketi kuanzia saa nne asubuhi, lakini baadhi ya wanafamilia waliotakiwa kukihudhuria walichelewa kwa sababu ya kutopata taarifa mapema.

HII NDIO KAULI YA KAJALA BAADA KUSADIKIKA KUPIGWA CHINI NA WEMA

.


“Unajua mi nashangaa sana watu wanatoa wapi maneno wanayoandika, mimi sina tatizo na Wema, wala siwezi kuwa na tatizo naye, wema amekuwa msaada mkubwa kwangu, sa sijui nitagombana nini na wema, huo ni uzushi tuu jamani, muwe mnatuuliza kabla ya kuandika” Alisema kajala
Alipoulizwa kuhusu ukaribu wake mpya na wolper alisema
“Wolper nimekutana naye kwenye party ndo tukaamua kupiga picha, au siku hizi sitakiwi kupiga picha na mtu mwingine zaidi ya wema? Wolper ni rafiki yangu”

Saturday, June 01, 2013

KLYINN AWEKA WAZI UHUSIANO WAKE NA REGNALD MENGI

Ama kweli pesa na mapenzi kila kitu hebu sikia hii….
Kumekuwepo na Minong’ono mingi lakini hapakuwa na ushahidi wa hili mpaka mwanadada huyo alipoamua kuanika hadharani kuwa mheshimiwa Reginald Mengi ndiye baba halali wa mapacha wake wawili.
Hongera Mmiliki  wa makampuni ya IPP bwana REGINALD mengi kwa kumiliki mtoto mkali  Jackline Ntuyabaliwe(K’lyne)  ….


 MENGI.

 ..

 Hiyo ndo Tweet ya K’lyne kwa mpenzi wake Mh. MENGI

Monday, May 27, 2013

MTANGAZAJI WA TV ANYONYA MATITI LAIVU KUONJA MAZIWA YA MWANAMKE "VIDEO"

Mtangazaji wa kituo kimoja cha Televisheni nchini Uholanzi aliacha watazamaji wamepigwa na butwaa baada ya kunyonya matiti na kunywa maziwa moja kwa moja kutoka mama mmoja wakati wa kipindi chake.

Mtangazaji huyo, Paul de Leeuw, alikuwa amealika kundi la wanawake kutoka asasi moja ambayo inaruhusu kubadilishana maziwa ya mama kati ya akinamama kwenye kipindi chake cha burudani, Langs de Leeuw.

Kwenye hiyo video, tafsiri ya mazungumzo yao yalienda kama hivi:

Leeuw: “Maziwa yana ladha gani, ni matamu? Umeshawahi kuyaonja?”
Wendy: “Ndio, huwa nayaonja mwenyewe kila wakati kabla kuyagawa”
Leeuw: “Nani anaweza kunipa rukhsa kuyaonja”?
Wendy: “Unaweza kuonja yakwangu, nimekuletea chupa tayari”
Leeuw: “Siwezi kupata moja kwa moja kutoka kwenye titi kati ya moja wenu?” (wahudhuriaji wacheka)
Wendy: “Well …. kama hautang’ata, unaweza kujaribu toka kwenye titi langu …” (wahudhuriaji wacheka na kupiga makofi)
Leeuw: (akijitayarisha): “Kamulia usoni mwangu!! haha, hapana, hapana. Ninafanya vipi?”
Wendy: “Sijui, sijawahi kunyonya kutoka kwenye titi moja kwa moja …”
Leeuw: (Baada ya kunyonya na kuonja maziwa kutoka kwenye matiti yote mawili): “maziwa kutoka kwenye titi la pili ni matamu zaidi, lakini nimepata ladha inayoonyesha ulikula asparagus jana” (Asparagus ni aina ya mboga)
Wendy: “Well, sio jana ila nilikula asparagus Jumanne, haha”

Kipengele hicho kimeibua shutuma kali katika mitandao ya kijamii lakini Wendy ametetea mabadilishano hayo yasiyo ya kawaida, akisema ilikuwa ‘kwa nia njema’.

Saturday, May 18, 2013

NEW SONG "HOLD ME BACK" BY NAVY KENZO DOWNLOAD AND LISTEN IT FROM HERE

huu ni wimbo wa kwanza kutambulisha ujio mpya wa kundi hili la NAVY KENZO linaloundwa na Nah reel,Aika na weestar!!!

 https://fbcdn-sphotos-b-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/601874_10201132596386724_2147160884_n.jpg.


http://api.ning.com/files/Vku3s2wlMTWZZHVgQ9Yv6SV73k9U4oXFuETQU2pW3WL2vX0bwoAzA7XZwl7AtQyJwjsD8zv2ULw2snfcxvSV8yl9ijaAvOXt/NavyKenzo.jpg

download it from here


Thursday, May 16, 2013

LINAH NA BARNABA KUTIMULIWA THT

 http://sphotos-h.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-prn1/p480x480/923550_575368135829958_1321186062_n.jpg

KUELEKEA shoo maalumu ya Miaka 13, ya mwanamuziki nguli wa bongo fleva nchini na kiongozi wa bendi yenye msisimko mkubwa ya ‘Machozi Band’, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ au Jide’ huenda kwa upande wa wasanii wa Nyumba ya Vipaji ya THT, Linah Sanga na Barnaba mwaka huu ukawa mchungu kwao kufuatia kuwepo taarifa za kutimuliwa na uongozi wa juu.

Kwa mujibu wa vyanzo kutoka kwa mtu wa karibu wa Linah kilieleza kuwa mpaka sasa msanii huyo hana raha na wala hajui ataanza vipi katika harakati zake za kimuziki hasa kufuatia hivi karibuni kukacha shoo ya nguli Lady Jay Dee kwa shinikizo kutoka kwa wakubwa zake. Hata hivyo, Linah inadaiwa uongozi wa juu umekaa kikao na hatua iliyofuatia kwenye kikao hicho ni kuwaondoa kabisa kwani huenda wakatia doa wasanii wenzao ndani ya kundi hilo.
“Juzi Linah, haikuwa kawaida yake maana hata alipopigiwa simu kwa ajilhatua zingine alionekana kuwa na hofu, na wala hakutaka kusikia ushauri wangu ambao nilikuwa nikimhusia kuwa aachane na mawazo hayo kwani jambo analoliwaza huenda likaisha na hata maamuzi yatakayotoka yatakuwa ni kawaida” kilieleza chanzo kutoka kwa mtu wakaribu wa Linan, ambaye hata hivyo alisema kuwa huenda ukweli wa jambo ukawa hadharani
.https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgS9Q5lG3bsAFhKVCOmWdCZddPpJIfuxGclZr-Q9W1EgQ30yhgGysBeRx9hszuI-3XY6qDPclNQATmQkobZ0xcGs1T7szUZy7oV9PeI_yLEHTXcp6bCh2zmBD9JmOvosc9mFfpjbHWOzuXl/s1600/linah3.jpg
Hata hivyo taarifa za ndani za uongozi wa THT zilibainisha kuwa mpango wao wa kuwashughulikia wasanii hao upo pale pale na taratibu zinafuata ilizisilete madhara kwa wasanii waliopo ndani ya THT na watu wa karibu wanaoiunga THT.

“Wewe nani kakwambia kama tumewaadhibu Lina na Barnaba?, ndio kwanza tunakusikia wewe hizo taarifa, sisi tunafanya mambo yetu wao waache wafanye yao tukiwa nao sie na tunaouwezo wa kuwatimua ilikulinda hadhi ya THT” Kilieleza chanzo hicho ambacho hata hivyo kutokana na usalama wa jina lake tumelihifadhi. Ambapo namba yake inaishia na**08.
Aidha, katika ‘ku-balance’ uhondo kamili wa habari hizi wasanii hao wote walipotafutwa kwenye simu zao za mkononi lakini hawakuweza kuwa hewani kwa muda mrefu.. na hata alipopigiwa mtu wao huyo wa karibu naye alizima simu.
Katika kile kinachoeleza kupamba moto shoo hiyo, na kujaa kwa taarifa mbalimbali juu ya wasanii watakaopamba shoo ya miaka 13, Mei 31 ndani ya Nyumbani Lounge, Tayari tiketi zimeanza kuuzwa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Saalam.
 http://dartalk.com/wp-content/uploads/2012/03/barnaba9.jpg
Shoo hiyo ya kijanja Nyumbani Lounge, patakuwa hapatoshi pale wadau wa burudani na wastaarabu wote watakapojumuika kwa pamoja ku-shoo love kwa Lady Jay Dee na Machozi Band, huku listi ya mastaa mbalimbali wanatarajia kuudhuria sambamba na ‘surprise’ kutoka kwa mastaa hao ambao kwa sasa wengi wapo kimya wakihofia kutengwa na wazee wa ‘fitina bin Logiki’.
Awali kulikuwapo na taarifa za kuwapo kwa msanii Matonya, ambaye hata hivyo mtandao wa Lady Jay Dee ulitoa hadharani kuwa mwanamuziki huyo ameshachukua ‘advance’ ya shoo hiyo na wazee wa ‘kuingilia logik’ wameshamtisha Matonya ili ajitoe, lakini akiwa ameshatafuna pesa ya watu.
Mtandao huo wa kijamii blog, ilinukuu kila kitu juu ya Makubaliano baina ya Capt.Gadna G Habashi na Matonya ambapo pia unaweza kuyasoma kupitia (Ladyjaydee.blogspot.com) Pia ulitoa kwa mara ya kwanza picha,maelezo muhimu na video ya wanamuziki hao wawili Linah na Barnaba wakiingia mkataba wa shoo hiyo na pia kuhamasisha watu kufika Mei 13..

NU JOINT: VISIOR CMB,NEGRO & WIZ KENNETH~ "CAUSE I" DOWNLOAD AND LISTEN IT FROM HERE

         VISIOR CMB
.


      WIZ KENNETH
.

          NEGRO
.

DOWNLOAD AND LISTEN FROM HERE

Wednesday, May 15, 2013

PICHA ZA UTUPU ZA MWANADADA SAPNA WA VIDEO YA JAMBOJAMBO YA STEVE R&B ZANASWA.

.
Hizi ndizo picha za mwanadada aisha firoz au kama anavyojulikana na wengi kama "sapna" aliyepamba video ya Steve R&B ya "jambojambo" ....
chanzo chetu cha kuaminika cha habari kimesema mwanadada huyuy anapenda kujipiga picha hizi akiwa peke yake na hizi ni baaadhi ya picha hizo !!!!!




.

Tuesday, May 07, 2013

PICHA YA FARAGHA YA SALAMA JABIR YASAMBAA MTANDAONI

.
Mtu ambaye hajaandika jina lake amesambaza picha ambayo inamuonesha inamuonesha mtu ambaye amedaiwa kuwa ni SALAMA JABIR ambaye ni mtangazaji wa kituo cha tv cha EATV.
Ambapo mtu huyo amedai picha hii ameitoa kusikojulikana na amedai kuwa ana wasiwasi na mtu aliyekuwa pembeni ya salama kama picha inavyoonesha hapo chini kuwa ni mwanamke kutokana na kamba zinazoonekana eneo la mabegani karibu na shingoni na kudai kuwa ni za sidiria


http://1.bp.blogspot.com/-NXFWgXqiGAA/UYipJzfpajI/AAAAAAAAfcU/BeNqPLqtQQg/s1600/makubwa.jpg