Friday, November 23, 2012

LADY GAGA AJA NA MUONEKANO MPYA

Lady Gaga’s new look!Mwanadada mwenye swag za kipekee na muonekano wa kipekee sasa aja na muonekano mpya ambapo again reinvented herself with a radical new look – dreadlocks!!!
kama kawaida yake  huwa haishiwi vituko!!!
na sasa yupo huko peru katika tour yake ya thanks giving na she said “Off to Peru, i love touring so much. I wake up smiling everyday. I hope you know I'm thankful for u this thanksgiving,” said the ‘Fame’ singer, who also donned some heavy black brows and a bold red lip in the shot.

No comments: