Monday, November 12, 2012

OMMY DIMPOZ AMEPATA AJALI

CEO na founder wa "poz kwa poz entertainment" ommy dimpoz amepata ajali leo katika maeneo ya millenium towers. Hakuna mtu aliyeumia katika ajali hiyo!! pole xana ommy..

No comments: