Sunday, January 27, 2013

EDWARD LOWASA APATA AJALI

mh.edward lowassa amepata ajali leo asubuhi katika mji wa morogoro akiwa anaenda kwenye harambee ya kanisa la KKKT.
gari la mheshimiwa liligongwa na basi la biria lililokuwa likitoka morogoro kuelekea dar
gari la lowasa limegongwa upande wa dereva na kuharibika lakini hakuna mtu aliyekufa wala kujeruhiwa katika ajali hiyo

No comments: