..
.
lile group la wanadada watatu ambalo linajulikana kwa jina la SHOSTEEZ ambalo lipo chini ya management ya producer LAMAR limepata deal ya kutengeneza tangazo la moja ya vinywaji vikubwa hapa duniani (jina bado halijatajwa)
.
producer lamar amesema bado wapo kwenye maandalizi ya tangazo hilo ambapo yeye ameshaandika script ya tangazo hilo
hii imekuja baada ya kundi hili kuachia video myao mpya siku kadhaa zilizopita
..
No comments:
Post a Comment