Ama kweli pesa na mapenzi kila kitu hebu sikia hii….
Kumekuwepo na Minong’ono mingi lakini hapakuwa na ushahidi wa hili
mpaka mwanadada huyo alipoamua kuanika hadharani kuwa mheshimiwa
Reginald Mengi ndiye baba halali wa mapacha wake wawili.
Hongera Mmiliki wa makampuni ya IPP bwana REGINALD mengi kwa kumiliki mtoto mkali Jackline Ntuyabaliwe(K’lyne) ….
.
..
Hiyo ndo Tweet ya K’lyne kwa mpenzi wake Mh. MENGI
No comments:
Post a Comment