AY, mzee wa commercial ambaye pia ni mshindi wa tuzo za chanell O 2012 kupitia video yake ya "i dont wanna be alone", FA na msanii maarufu kutoka
Nigeria J Martins wanarecord wimbo wa pamoja huko South Africa.
Jay Martins ambaye pia ni producer ameshafanya kazi nyingi na wasanii kama p square na wengineo na amefanya nyimbo nyingi zilizofanya vizuri kwenye vituo mbalimbali Africa kama Fine fine love na zinginezo
No comments:
Post a Comment