Monday, November 19, 2012

CHIDI BENZ NA DULLY WAFANYA COLLABO "NIMERUDI"

Msanii wa Bong Fleva kutoka ilala almaarufu kama Chid benz baada ya kutamba na ngoma zake kama Nampenda sana,Mashaalah,Never Be The Same Again, na ngoma nyingine kali ndipo aliweza kufahamika kwa mashabiki wa muziki hapa tzee hata East africa nzima sasa Latest info kutoka kwa msanii huyu siku zilizopita alishawahi kupiga  story na djfetty na akamwambia kwamba kuna ngoma yake mpya amefanya collabo na msanii mtoto wa kariakoo Dully sykes sasa iko tayari na inaitwa "NIMERUDI"

No comments: