Msanii wa
Bongo Fleva almaarufu kama
Daz Baba kama unamkumbuka msanii huyu kipindi cha nyuma alikuwa anatamba na ngoma kadhaa kama,
Mrembo namba nane,Elimu dunia,Nipe tano na ngoma nyingine kali sasa mpaka kupelekea watu au mashabiki kukubali kazi zake sasa
Latest info ambayo tumeipata leo ni kwamba msanii huyu baada ya
kukaa na rastaa zake kwa muda mrefu sasa ameamua kuzinyoaa na hapo chini
ndiyo muonekana wake baada ya kuzinyoa rasta hizo
dzain ameshinee.
No comments:
Post a Comment