moja kati ya product ambayo haikutegemewa kabisa ni hii ya Genereta
inayotumia haja ndogo (Mkojo) katika Maker Faire Africa mwaka huu huko
Lagos Nigeria iliyotengenezwa na watoto wakike wanne ambao ni Duro-Aina
Adebola (14), Akindele Abiola (14), Faleke Oluwatoyin (14) na Bello
Eniola (15).
Lita moja ya mkojo inakupa masaa 6 ya umeme
- mkojo unawekwa kwenye electrolytic cell ambayo inatenganisha Hydrogen
- Hydrogen inakwenda kwenye filter ya maji kwa ajili ya kusafishwa ambapo baada ya hapo inasukumwa kwenda kwenye gas cylinder.
- Gas cylinder inaisukuma Hydrogen kwenye cylinder ya liquid borax ambayo inatumika kuondoa moisture kwenye gas ya hydrogen
- hii gas ya Hydrogen iliyosafishika inasukumwa na kuelekea kwenye generetor
No comments:
Post a Comment