Wednesday, November 14, 2012

MWANA FA ANAKUJA NA NGOMA MPYA

Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Mwana FA baada ya kutamba na ngoma kali kama Yalaiti,Nangoja Ageuke,Unanijua unanisikia,Bado nipo nipo sasa
Latest Info tumezipata hivi sasa ni kwamba msanii huyu hivi sasa  yuko ndani ya Bongo Record akifanya ngoma yake mpya na Mafumu Bilali lakini hakuweza kusema  ni ngoma gani ila alisema atafanya suprise kwa mashabiki wake.Hiyo ndiyo picha ambayo akiwa studio aki record ngoma yake mpya ambayo soon anatarajia kuachia..!!!!!!!

No comments: