Wednesday, November 14, 2012
MABESTE NEW SONG DOLE COMiNG SOON!!!
Msanii wa kizazi kipya almaarufu kama Mabeste baada ya kutamba na ngoma zake kadhaa hapa Tzee kama Sirudi Tena,Baadaye sana na ngoma nyingine kali alizopewa collabo na wasanii wa hapa Tzee sasa
Latest info kutoka kwa Mabeste kama unakumbuka siku za hivi karibuni alifunguka na kusema anatarajia kuachia ngoma nyingine mpya baada ya Sirudi Tena sasa leo amenitumia cover ya hiyo ngoma yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la "DOLE"imetulia kinomanoma!!!!!!!!!!!!
Dj fetty.blogspot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment