Wednesday, November 14, 2012
EXCLUSIVE THE MAKING OF VIDEO MPYA YA DULLY "UTAMU" FT OMMY N DIAMOND
Msanii wa bongo Fleva almaarufu kwa jina la Dully Sykes anayetamba na ngoma kali hapa bongo na kupelekea mpaka mashabiki kumkubali katika tasnia ya muziki hapa Tzee sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba baada ya kufanya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Utamu ndani ya Bongo Record sasa siku ya jana alikuwa akiifanya shooting chini ya Director Adamu Juma Next level ebu check out hapo jinsi walivyotupia swagg pale kati kiukweli walipendeza sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment