Friday, November 23, 2012

MLOPELO WA KAOLE AFARIKI DUNIA

Mwigizaji kutoka katika kundi la kaole sanaa group maarufu kama Mlopelo aliyetamba katika maigizo mbalimbali ya kundi hilo amefariki dunia katika hospitali ya wilaya ya Temeke.Amefariki akiwa anasumbuliwa na matatizo ya mgongo na miguu. Msiba unafanyika leo saa nne asubuhi huko kwa Temeke wailes.
na hii ndio video ya mlopelo akiwa katika kipindi cha take one

Mungu ailaze mahali pema roho ya mwenzetu huyu aliyetutangulia..Amen!!!

1 comment:

Unknown said...

rest in peace mlopelo