Monday, November 19, 2012

SHETTAH AMEJIPANGA NA NGOMA YAKE MPYA "BONGE LA BWANA"

Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Shetta anayetamba na ngoma yake aliyofanya collabo na Diamond Nidanganye danganye mpaka kupelekea msanii huyu kuweza kupata mafanikio mazuri baada ya ngoma hii kuweza ku hit sana katika vituo mbalimbali vya ma radio sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba baada ya kuja na Bonge la Bwana sasa anatarajia kuizindua rasmi siku ya Jumapili tarehe 25 ndani ya Maisha Club.Baada ya kusema hivyo pia alifunguka na kusema hii ndiyo inaweza ikawa ndiyo ngoma yake ya kufunguka mwaka kwa mashabiki wake..!!!!info kamili by Shetta

No comments: