Tuesday, November 13, 2012

RIHHANA AANIKA UMBO LAKE GQ


Rihanna hajaona tabu kuonesha live umbo lake likiwa tupu kwenye kava la jarida la GQ ambapo maziwa yake yamefunikwa kidogo tu na jaketi lake la ngozi huku mkono ukiziba sehemu yake ya uzazi.
Alitweet cover hilo kwa mashabiki wake na kuanzika, “”GQ’s man of the year?! When will your fave? #histoRih #GQ” We guess she mean’t to ask “Who is your fave.”
Wakati huo huo Rihanna ametoa remix ya hit single yake “Diamonds” ambapo amemshirikisha rapper Flo Rida.

No comments: