Monday, December 31, 2012

WOLPER AIKUBALI STYLE YA NYWELE YA SOLANGE KNOWLES

Muingizaji wa Filamu za bongo hapa nchini maarufu kama Wolper leo asubuhi kupitia katika mtandano aliweza kufunguka na kusema ametokea mara kwa mara kukubali sana style ya nywele ya mwanadada Solange Knowles. na unakuta kuna wakati anatumia muda mwingi kuweka nywele zake sawa ili ziwe na muonekano mzuri pale anapotoka out labda anapofanya shughuli zake za sanaa.

No comments: