Monday, December 31, 2012
ADAMU MCHOMVU ATOA RUKSA KUTENGENEZA VIDEO YA JONII
Mtangazaji wa show ya Double XXL na Bongo Fleva kupitia 88.5 Clouds FM radio maarufu kama Adamu Mchomvu au Baba Jonii,baada ya kutamba na ngoma yake kali inayokwenda kwa jina la Jonii,sasa leo ameamua kutoa ruksa kwa mashabiki wake kwa wale wanaotaka kutengeneza video hiyo ya Jonii.Huu ni ujumbe kutoka aliyoandika katika blog yake na kutoa ruksa hiyo"YEs, kama kumbukumbu zako zitakuwa poa basi haina shaka utakuwa unakumbuka kama Jumamosi iliyopita nilitoa ruhusa kwa mtu yeyote anaona anaweza fanya video ya ngoma yangu matata ya 'Jonii' amabayo kitambo kidogo ilisumbua kwenye gemu lakini nilikuwa sijagonga kichupa chake kwa masababu kibao tu. Round hii nikatoa hiyo 'nike' ya watu kufanya video na kunitumia nashukuru mwitikio umekuwa mkubwa watu wamenigongea 4n wakisema wameshaanza mchakato huo na 'soon' watazidondosha kwangu soo kama na wewe ni mmoja wao fanya hivyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment