Tuesday, January 22, 2013

DIAMOND AKITANGAZA LIVE KIPINDI CHA COUNTDOWN NDANI YA CHOICE FM



Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa msanii wa Bongo Fleva maarufu kama Diamond Platinum kwa kuwasha kipaza sauti na kuendesha show ya redio kwa masaa mawili live ndani ya choice Fm 102.5 Fm Hebu tune to Choice Fm today kuanzia hivi sasa 3pm-5pm.



No comments: