Justine bieber ambaye ni young hit maker anayezidi kuziteka pande mbalimbali za dunia kwa mziki wake anaofanya.
juzi amewaacha watu midomo wazi kwa kile alichokifanya katika shoo yake au tamasha la MEET AND GREET ambapo alionekana akimshika maziwa shabiki yake aliyekuwa akipiga naye picha, bieber alizishika titi za mwanadada huyo lakini cha kushangaza zaidi ni kitendo cha mwanadada huyo kutoshtuka wala kufanya chochote zaidi ya kuachia tabasamu kubwaaaa usoni mwake
bieber akimshika maziwa mwanadada huyo
No comments:
Post a Comment