Wednesday, January 30, 2013

DIAMOND AANZA KUWAKAMATA WABAYA WAKE

ni mwezi sasa tangu alipofanyiwa vurugu za kutosha, wakati wa show yake aliyokuwa akiifanya ndani ya Maisha Club, na kusababisha watu kadhaa kuumia, chupa kurushwa na mayai viza kurushwa, huku akiachwa bila ya cheni, saa wala miwani alizokuwa amezivaa , siku ya jumamosi Diamond alipokuwa akielekea Kigamboni kwenye show aliyokuwa anaifanya huko akiwa na msanii, alifanikiwa kumkamata mmoja wa walioanzisha vurugu hizo, akiwa ndani ya pantoni nae akielekea kigamboni njemba huyo sasa yupo kituo cha polisi oyster bay

No comments: