Ni baada ya kushikiliwa kwa muda mrefu baada ya kushitakiwa kwa kosa la kuua bila kukusudia .... muigizaji Elizabeth michael au kama ajulikanavyo na wengi kwa jina la LULU sasa yupo uraiani rasmi baada ya kupewa dhamana na mahakama ni baada ya kutimiza masharti yote ya dhamana
lulu akikumbatiana na mama yake huku wakilia kwa furaha dakika chche baada ya kupewa dhamana pembeni ni Dr.cheni
lulu akihojiwa na vyombo vya habari
lulu akipanda kwenye gari tayari kuelekea nyumbani
;picha na Millard Ayo
http://millardayo.com/
1 comment:
Good job Visior
Post a Comment