Friday, February 15, 2013

KIMONDO KIMEDONDOKA URUSI (METEORITE FALL IN RUSSIA TODAY)

kimondo hicho kimeanguka leo nchini urusi na kuleta hasara kubwa nchini humo, hii ni baada ya kuanguka na kulipuka huku zaidi ya watu (1000) elfu moja nchini humo kujeruhiwa wakati wakikishuhudia kimondo hicho kikianguka.
hizi ni baadhi ya picha za tukio zima la kuanuka kwa kimondo hicho


 

 
 

No comments: