Friday, February 15, 2013

NAY WA MITEGO APATA AJALI

mwanamziki wa bongo flava hapa nchini tanzania ,Nay wa mitego amepata ajali hii maeneo ya masaki jijini dar es salaam baada ya gari yake aliyokuwa akiendesha kugongwa na roli la mchanga kwa nyuma na dereva wa roli hilo kukimbia baada ya ajali hiyo.
Nay wa mitego amepona katika ajali hiyo kwan hajapata majeraha yoyote zaidi ya kupata ,mshtuko na gari yake kuharibika vibaya.gari ya ney ilikuwa ni aina ya alteza

HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA TUKIO HILO



 
 

No comments: