Unakumbuka kuna story flani zilitoka kuwa mtu mzima Ali kiba soo atakuwa
chini ya Sonny Music kama mwanadada Keko kutoka Uganda, sasa fununu
nilizonazo ni kuwa jamaa kasha saini mkataba na Sonny.. na hii ni relese
yake mpya na trust me kwa nilivyoisikiliza lazima ibambe.
SOURCE FROM DJ FETTY BLOGSPOT
No comments:
Post a Comment