Wednesday, November 14, 2012

STAMINA AACHIA INTRO YA WIMBO WAKE ON BIRTHDAY


Baada ya ngoma zake zote kufanya vizuri na hata kuweka historia katika tamasha kubwa Tanzania (FIESTA), Stamina sasa anatarajia kuja na pini jipya akiwa na Fid q, ila kwa kuwa leo ni birthday yake ameamua kuachia Intro kabla ya ngoma hiyo na Fid kutoka. Intro hiyo inaitwa Moro Moro ikiwa ni version nyingine ya Mwanza Mwanza.
"Mwezi ujao nitaachia ngoma yangu mpya niliyofanya na fid q inayoitwa ushauri nasaha,bt leo kwavile ni siku yangu ya kuzaliwa nimeaamua kuwapa zawadi mashabiki wangu kwa kutoa version namba 2 ya mwanza mwanza ambayo inaitwa Moro Moro special kwa ajili ya birthday yangu.amen
Dj fetty

No comments: