Wednesday, November 14, 2012
PAH ONE WITH NEW PROJECT
Wasanii wanaofanya vizuri hapa Bongo almaarufu kwa jina la Pah one sasa baada ya kutamba na ngoma kadhaa kama Amatita,Ghetto,Asambeni na ngoma nyingine kali
Latest info ambayo tumeipata leo ni kwamba wamemaliza project yao inayokwenda kwa jina la I wanna get paid kwa hiyo wewe kama mshabiki wa Pah one kaeni tayari kwa ujio mpya wa kundi hili linalo tikisa hapa Tzee kwa ngoma zao kali.Huu ni ujumbe walio u post katika ukurasa wao na kusema hivyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment