Wednesday, November 14, 2012
DJ CHOKA ANAMALIZIA ALBUM YAKE
Ni moja kati ya watu wenye umaarufu fulani hapa Tzee kwa kupitia kazi za wasanii mbalimbali katika media au pale mtu anapokuwa na kazi yake basi lazima ukutane na huyu mtu hata support kazi yako kwa kupitia blog yake sasa
Latest info kutoka kwa Dj Choka mrApetite ni kwamba kwa sasa yuko mbio kwa kuachia album yake mpya siku ya tarehe 12 mwezi wa 12 pia baada ya kusema hivyo alimaliza kwa kusema kwamba baada ya ngoma inayofahamika kwa jina la Pamoja we Can.Mashabiki wakae tayari kwa ujio wa ngoma mbili mpya za kwake kwa mpigo.@info kamili Dj choka Mr Apetite.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment