Wednesday, November 14, 2012
MANEKE ANAFANYA KAZI NA TOP 5 YA BSS
Ni moja kati ya ma producer wakali hapa Tzee baada ya kufahamika kwa touch zake mbalimbali alizozifanya hapa Tzee kama Nataka Kulewa,Hakunanga,Demu sio n nyinginezo kali sasa
Latest info kutoka kwa Producer huyu ni kwamba siku za hivi karibuni baada ya washiriki wa Epiqbss kuonyesha vipaji vyao siku ya Fainali ilyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee sasa Manecky amejitolewa ofa kwa washiriki waliongia Top 5 kwa kufanya kazi katika studio yake bure.baada ya kusema hivyo alimalizia kwa kusema kwamba mashabiki wa Walter na washiriki wengine kaeni kwa ujio mpya wa wasanii hao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment