hali ya mchekeshaji Tumaini Martin ''Matumaini'' ni mbaya na anasumbuliwa na tatizo la kuvimba miguu na tumbo na pia mwili kukosa nguvu.
Matumaini ambaye yupo nchini msumbiji ambako alikuwa ameolewa na kuishi huko anasumbuliwa na maradhi hayo na anahitaji msaada wa matibabu ambapo mwenyekiti wa chama cha wasanii taifa bwana Michael Sangu amesema matumaini anahitaji msaada wa nauli ya kurudi tanzania na pia hela ya matibabu
hapa matumaini akiwa na kiwewe
No comments:
Post a Comment