wema sepetu ametoa sababu ya kwa nini movie hiyo haijatoka , wema amefunguka na kusema kuwa hajaridhika na soko na ndiyo maana hajitoa. amesema katumia gharama kubwa sana katika kutengeneza na kuizindua movie hiyo
hivyo gharama za movie hyo hazijarudi kutokana na soko kuwa baya na hivyo kupelekea yeye kutoitoa movie hiyo
na hizi ni baadhi ya picha za siku ya uzinduzi wa filamu hiyo akiwa pamoja na muigizaji kutoka Nigeria
OMOTOLA
No comments:
Post a Comment