ASKARI WA BARABARANI AGONGWA NA KUFA PAPO HAPO. AKIONGOZA MSAFARA WA RAISI
Trafiki wa kike aliyejulikana kwa jina moja la Elikiza aliyekuwa akiongoza magari eneo la Bamaga, Mwenge jijini Dar, akifunikwa na wasamaria wema baada ya kugongwa na gari na amekufa papo hapo.
1 comment:
Duuh noma aisee
Post a Comment