ASKARI WA BARABARANI AGONGWA NA KUFA PAPO HAPO. AKIONGOZA MSAFARA WA RAISI
Trafiki wa kike aliyejulikana kwa jina moja la Elikiza aliyekuwa
akiongoza magari eneo la Bamaga, Mwenge jijini Dar, akifunikwa na
wasamaria wema baada ya kugongwa na gari na
amekufa papo hapo.
.....
1 comment:
Duuh noma aisee
Post a Comment