Wednesday, January 30, 2013

HALI YA MATUMAINI (COMEDIAN) NI MBAYA HUKO MSUMBIJI NA ANAHITAJI MSAADA

hali ya mchekeshaji Tumaini Martin ''Matumaini''  ni mbaya na anasumbuliwa na tatizo la kuvimba miguu na tumbo na pia mwili kukosa nguvu.



Matumaini ambaye yupo nchini msumbiji ambako alikuwa ameolewa na kuishi huko anasumbuliwa na maradhi hayo na anahitaji msaada wa matibabu ambapo  mwenyekiti wa chama cha wasanii taifa  bwana Michael Sangu amesema matumaini anahitaji msaada wa nauli ya kurudi tanzania na pia hela ya matibabu




hapa matumaini akiwa na kiwewe

No comments: