Tuesday, March 19, 2013

ASKARI WA BARABARANI AGONGWA NA KUFA PAPO HAPO. AKIONGOZA MSAFARA WA RAISI

Trafiki wa kike aliyejulikana kwa jina moja la Elikiza aliyekuwa
 akiongoza magari eneo la Bamaga, Mwenge jijini Dar, akifunikwa na
 wasamaria wema baada ya kugongwa na gari na
 amekufa papo hapo.


 
.....

 

1 comment:

Anonymous said...

Duuh noma aisee