Tuesday, February 19, 2013

HII NDIO TATHMINI KAMILI YA MATOKEO YA FORM FOUR 2012

http://3.bp.blogspot.com/-jRzVuYXvvhg/UIgf6MZwo1I/AAAAAAAATg8/z4VJ4I_v3qk/s1600/MULUGO.jpg
Ni baada ya matokeo ya taifa ya kidato cha nne mwaka huu  kutangazwa hapo jana na kuzua gumzo baada ya kiwango cha ufauru kushuka kwa hali ya juu ama kwa kiasi kikubwa.
mwaka huu ufaulu wa kidato channe ni mbaya kwani wanafunzi wengi sana wamefeli.

NA HII NDO TATHMINI YA MATOKEO HAYO;

Waliofanya Mtihani - 397,136 
Waliopata Daraja la 1 hadi IV -  126,847
Daraja  la kwanza - 1,641  

Daraja la Pili -  6,453 
Daraja la Tatu - 15,426  
Daraja la Nne - 103,327 

SHULE ZILIZOONGOZA NI;

St. Francis Girl ya Mbeya,
Marian Boys ya Bagamoyo
Feza Boys Dar es Salaam
Marian Girls Bagamoyo,
Simini, 
Kanosa na Jude
St. Mary.



No comments: